Latest News

hajizjini

VIDEO

PICHA: BTS ya utengenezaji wa video ya "Ningefanyaje" wa Ben pol ft Avril & Rossie M

  Ben pol na Rossie M wapo nchini south africa kwajili yakushoot video ya wimbo mpya wa ben pol "Ningefanyaje" wa ben pol ft Avril na Rossie M

Muimbaji Ben pol amemaliza kushoot video hiyo jumapili iliopita na alieshoot/kuongoza video wa wimbo huo ni yule anaeongoza kushoot video za wasanii kutoka Tazania kama Vanessa Mdee "Never Ever", Joh Makini "Nusu Nusu" na ya Navy Kenzo Sio mwingine ni Director kutoka south africa Director Justin Campos wa Gorilla Films.

Hizi ni baadhi ya picha wakiwa location south africa. 
 Ben Pol na Rossie M wakiwa location huku justin campos akiwa anashoot video hiyo.
Inaonekana kuwa msanii kenya alieshirikishwa kwenye wimbo huo Avril hakwepo location na wendaikawa asionekane kwe Video hiyo

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO