Staa wa muziki Aboubakary Shabani Katwila a.k.a Q-Chief, ambaye tayari amejaliwa kuwa baba yuko mbioni kuiaga kambi ya mabachela.
Q-Chief ametangaza kuwa sasa ameona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu.
Akizungumza na E-Newz ya EATV, Q Chilla amesema
katika maandalizi yake hayo ya harusi itakayofanyika mwezi January
mwakani, pia ameandaa wimbo maalum kwa ajili ya mchumba wake huyo ambaye
ni mzaliwa wa hapa nchini Tanzania.
“Wimbo ambao nimemzawadia mke wangu mtarajiwa ambaye natarajia kumuoa
January au January katikati hapo, ni mwanamke mstahimilivu ambaye
amenipa moyo katika kipindi kigumu kwahiyo nikasema hapana ngoja nifanye
kitu kwa niaba yake kwahiyo hii ni zawadi yake” alisema Q Chilla.
hajizjini
VIDEO
Q-Chief kufunga ndoa January 2016!
Reviewed by AfricanForum
on
November 09, 2015
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
November 09, 2015
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment