Latest News

hajizjini

VIDEO

Uzinduzi wa Clouds TV on DSTV, Historia nyingine yaandikwa Escape one





Ndani ya Escape One Mikocheni, usiku wa tarehe 23-24 January 2016, imeenda kuandikwa Historia kwa mara ya kwanza ambayo watu wengi hasa wasanii watakwenda kujivuni ahistoria hiyo. Si nyingine ni uzinduzi rasmi wa Clouds Tv kurusha matangazo yake kupitia katika king'amuzi cha DSTV king'amuzi namba moja barani Afrika. Usiku huo ulipamba na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wetu, pia ulihudhuliwa na Waziri wa Habari, sana na wasanii Mh: Nape Nnauye

mauasama kwenye jukwaa na 'mahaba yake niue niponde kama nyanya

Fezakessy na Idrissultan wakifurahia jambo kwenye uzinduzi '


Alice_kella akilipamba jukwaa kwa burudani kali kwenye uzinduzi @cloudstv on @dstvtanzania #Clouds294 #afrikandosisi.

Ruby na yule akifanya yake

Barakah Da Prince

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO