Latest News

hajizjini

VIDEO

Kuku wa ajabu aibuka Mbeya...aiba shilingi 430,000/=





Na Esther Macha, Rungwe WANACHAMA wa kikundi cha kuweka na kukopa cha Mwijangasyege kilichopo katika Kijiji cha Isange Kata ya Isange katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wameingia katika hali ya taharuki baada ya kuku wa ajabu kukwapua fedha kiasi cha sh.430,000 na kutokomea nazo. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo wanakikundi hao walikuwa katika eneo... - See more at: http://edwinmoshi.blogspot.com/#sthash.WvVQG3iL.dpuf

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO