hajizjini
VIDEO
MAYUNGA awahimiza vijana kujitokea kwenye mashindano
Mshindi wa shindano la AIRTEL TRACE MUSIC STARS NALIMI MAYUNGA amewataka vijana kujituma na kujaribu bahati zao pindi zinapotokea nafasi mbalimbali za kushindana
Mshindi wa shindano la AIRTEL TRACE MUSIC STARS NALIMI MAYUNGA Mshindi wa shindano la AIRTEL TRACE MUSIC STARS NALIMI MAYUNGA amewataka vijana kujituma na kujaribu bahati zao pindi zinapotokea nafasi mbalimbali za kushindana. MAYUNGA ameyasema hayo baada ya kurejea kutoka MAREKANI kwa ziara ya wiki moja kwa ajili ya kurekodi video yake na kupata mafunzo kutoka kwa mwanamuziki nguli AKON wa nchini MAREKANI . Mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya AIRTEL BEATRICE SINGANO amesema kampuni yake inafurahia kuwa sehemu ya mabadiliko ya maisha ya wasanii wengi akiwemo MAYUNGA. Mwanamuziki huyo kijana alishinda tuzo hiyo kwa afrika nzima na kupata nafasi ya kurekodi na kuimba na AKON
MAYUNGA awahimiza vijana kujitokea kwenye mashindano
Reviewed by AfricanForum
on
December 22, 2015
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
December 22, 2015
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment