Bei ya mananasi katika soko la matunda la mabibo lililopo
jijini DSM, imeshuka mara dufu kutokana na idadi kubwa ya upatikanaji wa
mananasi sokoni hapo kunakosababishwa na msimu wa matunda hayo.
Kutokana na hali hiyo wafanyabishara sokoni hapo wamesema wanayouza kwa kati ya shilingi 500 na shilingi 2000 kulingana na ukubwa wa nanasi tofauti na hapo awali yaliuzwa kwa kati ya shilingi 2000 na shilingi 4500

Bei ya mananasi katika soko la matunda la mabibo lililopo jijini DSM,
imeshuka mara dufu kutokana na idadi kubwa ya upatikanaji wa mananasi
sokoni hapo kunakosababishwa na msimu wa matunda hayo
No comments:
Post a Comment