hajizjini
VIDEO
TCRA yaagizwa kushughulikia malalamiko ya wateja wa simu
Serikali imeagiza Mamlaka ya Mawasiliano Nchini -TCRA kushughulikia malalamiko ya wateja wa simu ya kupunjwa muda wa maongezi wa vifurushi na wizi wa fedha za wateja zinazotumwa kupitia mitandao ya simu
Serikali imeagiza Mamlaka ya Mawasiliano Nchini -TCRA kushughulikia malalamiko ya wateja wa simu ya kupunjwa muda wa maongezi wa vifurushi na wizi wa fedha za wateja zinazotumwa kupitia mitandao ya simu.
Akizindua duka la simu la kampuni ya simu ya Airtel jijini Dar Es Salaam Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani amesema baadhi ya malalamiko hayo yanawahusu wafanyakazi wa kampuni za simu wanaodaiwa kushiriki katika wizi wa fedha za wateja zinazotumwa kupitia mitandao ya simu.
Naye Mkurugenzi Mkuu wa AIRTEL, SUNIL COLASO amesema duka hilo litatumika kama mahala pa kujifunza teknolojia mpya zinazotolewa na kampuni mbalimbali zinazotengeneza simu za mikononi
TCRA yaagizwa kushughulikia malalamiko ya wateja wa simu
Reviewed by AfricanForum
on
January 15, 2016
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
January 15, 2016
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment