Latest News

hajizjini

VIDEO

Stamina a.k.a Shorwebwenzi:"Nitauza album yangu mwenyewe bila kutumia Wasambazaji"





noreply@blogger.com (Gregory Kadendula allstartz C.E.O) at ALLSTARTZ - 1 minute ago Msanii Stamina jana 23/01/2016 amesikika katika kituo kimoja cha radio cha hapa jijini akisimulia kisa cha yeye mwenyewe kuuza album yake bila kutumia wasambazaji wa Tanzania. Hii imefuatiwa baada ya kugundua Urasimu mwingi unaofanywa na Makampuni ya usambazaji Tanzania. Album hii ambayo imesheheni nyimbo kali za kuelimisha na kuburudisha yenye nymbo 15. Pia imesheheni story ambazo ni muendelezo katika album yake. Mashabiki tutegemee mambo mengine mazuri toka kwa Stamina Shorwebwenzi Soon.....

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO