Latest News

hajizjini

VIDEO

ALI KIBA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU TUHUMA ZA DIAMOND PLATINUMS KUZUIA NYIMBO MTV BASE

Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi.
“Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba
“Hajabeba talent ya kila mtu, kila mtu ana talent yake, ana haki ya kuonyesha kazi yake coz kila mtu anafanya business ya muziki sasa hivi sio mtu anafanya masihara, na unapomuona mtu anafanya video yake anagharamikia so haipendezi n


No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO