hajizjini
VIDEO
Baada ya gemu kuwa gumu msanii Baby J apanga kuzirudia nyimbo za Bi Kidude
Star wa muziki Baby J anayetokea visiwani Zanzibar anatarajia kuonesha uwezo wake mkubwa wa kurekodi kwa kuzirudia nyimbo za aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab Fatuma Bint Mbaraka almaarufu kwa jina la Bi Kidude.Baada ya gemu kuwa gumu msanii Baby J apanga kuzirudia nyimbo za Bi Kidude Staa wa muziki Baby J kutoka visiwani Zanzibar Baby J ameiambia eNewz kuwa wazo hilo limemjia kutokana na jinsi alivyomfahamu na kuishi na gwiji huyo akijiandaa kuingia studio akishirikiana na producer
Shirko katika kurekodi nyimbo maarufu za Bibi Kidude zikiwemo 'Muhogo wa Jangombe' na 'Kijiti' lengo kubwa ni kumuenzi gwiji huyo.
Baada ya gemu kuwa gumu msanii Baby J apanga kuzirudia nyimbo za Bi Kidude
Reviewed by AfricanForum
on
January 24, 2016
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
January 24, 2016
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment