hajizjini
VIDEO
Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!!
Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!!
Reviewed by AfricanForum
on
December 17, 2015
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
December 17, 2015
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki
headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single
mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo Fire.
Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema..’Baada ya kimya cha muda
mrefu kutokana na tours zangu kwahiyo imepita kipindi kirefu sana
mashabiki zangu walikuwa wanasubiri ujio wangu ndio maana nikaona sio
vibaya kuwapa zawadi ya kufungia mwaka pamoja na sikukuu ya
Chrismas’>>> Ommy Dimpoz 
No comments:
Post a Comment