Latest News

hajizjini

VIDEO

Music/Lyrics | Ibrhymes ft Suprah -Asali

..................CHORUS............
Girl you are my one and only in ma life/
Your body, the way that you move it you surprise my eyes/
Kwangu hauna kasoro mapenzi yako yameniweka selo/
Baby iiiiiiii!"
..................VERSE 1..............
Siachi asali kwenye utamu wa karata/
nazichanga kwa nidhamu nina hamu ya kudata/
wafahamu tuna damu ya mapacha/
wasitishe na salamu mi vitamu navitaka/
we haramu ya taraka/
usiwe na time kusahau tuloapa/
nitambue kwa undani hii awamu ya baraka/
za mola mwenye utashi wa haraka/
nikutunze kwa vidani uwe mwandani wa fanaka/
nakupenda kama maroon sio five bali colour yenye mvuto/
sema maroon colour niite rhyme ng'ara/
kama Bey na Sean Carter kwa mapenzi yenye uzito/
We ndo shina kwenye nguzo tena nguzo kwenye kina/
heshima yenye tuzo mbalamwezi kwenye mlima/
umeshanipa funzo ntakutunza kama uzima/
You're ma kangaroo and I ll be your son/
You never said no yo lemme be the one/
nikuguse kwa hisia ndo tabia ya mapenzi/
na machozi hautolia we tulia na hizi tenzi/
sio njozi sijiwezi/
usiku wenye kiza wewe ndio mbalamwezi/
nikupe jua nikupe mwezi/
na moyo ukijua tayari ushapata mwenzi...Ibrhymes
.
            .......CHORUS............
Girl you are my one and only in ma life/
Your body, the way that you move it you surprise my eyes/
Kwangu hauna kasoro mapenzi yako yameniweka selo/
Baby iiiiiiii!"

            ...(VERSE 2)...
"Una figure utadhani Halle Berry/
Unavyo shine unavutia kiukweli/
Kiuno cha duara nikushike kama Nelly/
Gal,we ni real model mwendo kama Mariah Carey/
Midomo yako ya kopa inanata kama asali/
Natamani unipe mate yenye radha ya strawberry/
Unavyo tabasamu kama Angelina Jolie/
Sauti yako mama inazidi ile ya tweeter/
Sio speaker,picha kwa facebook unakita/
You on whatsapp ma gal instagram unatisha/
Kwa maarifa tikisa kitandani unanidatisha/
Mnyamwezi mwenye bachelor ya chuo kikuu umenipitisha/
Sky is up,skype nipitishe kwenye twoo,/
afrointroductions bantu mwenye mvuto wa tatoo/
nikuguse kwa hisia ndo tabia ya mapenzi/
Na machozi hautolia we tulia na hizi tenzi/"
       
            ..........CHORUS............
Girl you are my one and only in ma life/
Your body, the way that you move it you surprise my eyes/
Kwangu hauna kasoro mapenzi yako yameniweka selo/
Baby iiiiiiii!"

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO