Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa
Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond
imekamilika na Jina la kolabo hiyo ni " I'm Playing For You".
Bob
Junior ameeleza kuwa kolabo hiyo imechelewa kutokana na wawili hao kila
mmoja kuwa bize sana na mambo yake. Hivyo amesema Kolabo hiyo kuna
uwezekano ikadondoka hata kabla ya mwaka mpya 2016.

No comments:
Post a Comment