Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu.
Nyota
na ing’ae! Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa
Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake
itaendelea kung’aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda
asiwepo duniani.
Wema
ameliambia gazeti hili kuwa anamshukuru Mungu kwa kumjalia nyota hiyo
ambayo inawezekana kuna watu wanatamani izimike wakati wowote, jambo
ambalo haliwezekani leo wala kesho na kwa kuwa alitoka nayo tumboni kwa
mama yake, Miriam Sepetu.
“Hata kama watu wataichafua kiasi gani,
nyota yangu itaendelea kung’aa hadi nitakapokuwa mzee. Nitakuwa ni bibi
mwenye mvuto na hata watoto watapenda kusikiliza hadithi zangu,” alisema
Wema
hajizjini
VIDEO
WEMA: HATA NIKIZEEKA NYOTA IPO PALEPALE
WEMA: HATA NIKIZEEKA NYOTA IPO PALEPALE
Reviewed by AfricanForum
on
November 09, 2015
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
November 09, 2015
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment