hajizjini
VIDEO
Hizi ndizo picha za vituko zinazo bebwa kwa #WhatWouldMagufuliDo
Wakenya wameamua kuja na utani kutokana na maamuzi ambayo Rais wa Tanzania amekuwa akiyafanya. Dr John Pombe Magufuli amekuwa
akifanya kila namna itakayo weza kuokoa nchi hii kutoka kwenye matumizi mabaya ya fedha katika kuziwekea fedha hizo kwenye mambo ya umuhimu na ulazima.
Hizi ndizo picha za vituko zinazo bebwa kwa #WhatWouldMagufuliDo
Reviewed by AfricanForum
on
November 26, 2015
Rating: 5
Reviewed by AfricanForum
on
November 26, 2015
Rating: 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment