Latest News

hajizjini

VIDEO

Pato la taifa lakuwa

Pato la taifa limekua na kufikia shilingi tirioni 45.5 katika kipindi cha Januari hadi Juni mwaka huu ikilinganishwa na pato la shilingi tirioni 39.0
Mkurugenzi wa takwimu za uchumi wa ofisi ya taifa ya takwimu NBS, MORRICE OYUKE akizungumza na waandishi wa habari
Pato la taifa limekua na kufikia shilingi tirioni 45.5 katika kipindi cha Januari hadi Juni mwaka huu ikilinganishwa na pato la shilingi tirioni 39.0 la kipindi kama hicho mwaka 2014.
Akitoa taarifa ya pato taifa la robo ya pili ya mwaka huu wa Aprili hadi Mei , Mkurugenzi wa takwimu za uchumi wa ofisi ya taifa ya takwimu NBS, MORRICE OYUKE amesema katika kipindi hicho pato la taifa limeongezeka kwa shilingi tirioni 11.1. ikilinganishwa na shilingi tirioni 10.3 kipindi kama hicho mwaka 2014.

 OYUKE amesema ukuaji huo umechangiwa na ukuaji wa uchumi katika sekta mbalimbali zikiwemo za kilimo na ufugaji ambayo imekua kwa asilimia 4.2  viwanda na ujenzi asilimia 8.3 na uzalishaji umeme asilimia 18.5

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO