ill Smith: “Fiesta” – (Video)
Mwanzoni wa mwezi huu Will Smith aliweka headlines na ujio wa wimbo wake
wa kwanza wa HipHop “Fiesta” baada ya kupotea kwa miaka 10 kwenye
kurasa za muziki wa HipHop Marekani… kama wewe ni miongoni wa mashabiki
wa Will Smith basi hii good news ikufikie, official video ya “Fiesta”
ipo hewani tayari!
Will Smith ambaye pia amesharekodi karibia nyimbo 30 ana mpango wa
kufanya world tour mwakani na DJ Jazzy Jeff… kama hujabahatika kukutana
na video mpya ya Will mpaka sasa
ill Smith: “Fiesta” – (Video)
Reviewed by
AfricanForum
on
October 18, 2015
Rating:
5
No comments:
Post a Comment