Latest News

hajizjini

VIDEO

New AUDIO | Joh Harakati feat Walter Chilambo - September 14 | Download/Listen

https://mkito.com/song/september-14/16265
Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii nimeelezea Isikilize."

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO