Latest News

hajizjini

VIDEO

Madee Amzawadia Dogo Janja Gari Kama Zawadi Ya birthday Jana Sept 15. Ipo hapa

Dogo Janja a.k.a Janjaro amezawadiwa gari katika siku ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Sept 15.Janja-3Zawadi hiyo ya gari imetoka kwa Madee ambaye ndiye mlezi wake kimuziki kwa muda mrefu.janja1Dogo Janja ambaye sasa amefikisha miaka 21 ameshare picha Instagramakikabidhiwa gari hiyo.
Janja2Muwakilishi Wa Mshua Alikuwa @dicksound1 Tajiri Yangu,Moja Ya Watu Wa Karibu Sana Wa Mshua Na Pamoja Na Mimi.. Shukraaan Sana Kwa Uongozi Wa Tip Top Connection @madeeali @babutale Tajiriii Dick Umetishaaaa Sanaaa” – Dogo Janja
Katika post nyingine alimshukuru Madee;
“Shukran Sana Mshua @madeeali Uko Mbalii Lakini Umenisuprise.. Sina Cha Kukulipq Zaidi Ya Kukuheshimu Daima.. Hakika saiv Barabarani Tutapigiana Honiii Tu Shukran Sanaaa Sanaa Sanaa MUNGU AKUWEKE”

No comments:

Post a Comment

TAFUTA CHOCHOTE

KITAMBO

KITAMBO SANA

Recent Post

AUDIO