>>> “Hata nikisema niwashkuru, maneno hayataweza kuelezea Shukran zangu kwenu…. ila sikuzote ningependa mfahamu kuwa Nitaendelea kuhaso hadi jasho langu la Mwisho, kuhakikisha Mziki wetu una acha kudhalauliwa na Kuheshimiwa kama Miziki ya wengine… -Msanii wa Mwaka Anaependwa -Nyimbo ya Mwaka Inayopendwa #NANA
Hongera na Big Up sana Diamond Platnumz!
No comments:
Post a Comment