Breaking News: Mtangazaji wa Clouds FM DJ Fetty Atangaza Kuacha Kazi Clouds
September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo
DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake
zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo,
presenter mwingine pia Kened the Remedy ameungana na Timu ya XXL kwa
mara ya kwanza.
Originally posted here –
Breaking News: Mtangazaji wa Clouds FM DJ Fetty Atangaza Kuacha Kazi Clouds
Breaking News: Mtangazaji wa Clouds FM DJ Fetty Atangaza Kuacha Kazi Clouds
Reviewed by
AfricanForum
on
September 15, 2015
Rating:
5
No comments:
Post a Comment