BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2018 ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofauti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76% Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde, amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa Kutazama matokeo hayo
0 Comments